Kundi la wapiganaji la Boko Haram la nchini Nigeria limesambaza video inayowaonesha wasichana wa shule waliogoma kuokolewa katika sehemu ya makubaliano ya serikali ya Nigeria na kundi hilo.
Katika video hiyo ya dakika tatu mwanamke anayejiita Maida Yakubu,anayedaiwa kuwa ni mmoja kati ya wasichana waliotekwa na kundi hilo mnamo April 2014, akiwa amezungukwa na wenzake huku akikiri kutii kundi la Boko Haram, lililogharimu maisha ya zaidi ya watu elfu ishirini tangu lililpoanzisha vurugu dhidi ya serikali ya Nigeria mwaka 2009.
Mwanamke huyo amedai kuwa hataki kurejea kwa wazazi wake wanaishi katika mji wa wasio na imani na kuwataka kuukubali Uislamu.
Juma lililopita takribani wasicha 82 waliotekwa miaka mitatu iliyopita huko Chibok waliachiliwa huru baada ya makubaliano yaliyofikiwa kati ya serikali ya Nigeria na kundi hilo.

Tupia Comments: