Akitambulisha nyimbo zake mbili leo June 21,2017 kwenye kipindi cha #XXLCloudsFm rais wa Wasafi Diamond Platnumz ametoa sababu zilizomuondoa Q Boy kwenye lebo yake…
Diamond anasema “Q boy alikuwa anataka kuimba mimi nikamwambia tufocus kwenye maswala ya nguo lakini alikataa na Q boy alisimamishwa kutokana na makosa baada ya hapo alienda kuongea vitu vya tofauti nje“
Source #CloudsFM 

Tupia Comments: