Leo Mei 17, 2017 KLABU ya Yanga imevuna dau la Bilioni 5  zaidi ya mahasimu wao, Simba SC  waliosaini dau la Sh. Bilioni 4.96 katika udhamini wa kampuni ya SportPesa. kwa miaka hiyo hiyo mitano.

Akizungumza wakati hafla ya kusaini mkataba huo makao makuu ya Yanga, makutano ya mitaa ya Twiga na Jangwani mjini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi wa Utawala wa SportPesa, Tarimba Abbas alisama kwamba wameingia mkataba huko kwa dhumuni la kuendeleza soka katika kufikia malengo ya klabu hiyo.

Tupia Comments: