Serikali kupitia Wizara yake ya Mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika mashariki imethibitisha Waasi na kikundi cha waasi cha Mai-Mai nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wamewateka madereva 24, wakiwamo Watanzania 21 wanaofanya kazi kwenye kampuni ya malori ya mizigo ya Alistair ya nchini. VIDEO:
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Tupia Comments: