Unatamani kumjua njemba yenye ujauzito wa Hamisa Mobetto baada ya Diamond kutolea nje mimba hiyo?
Kupitia kipindi cha XXL, hitmaker wa I Miss You, alikana kuwa mtoto huyo ambaye anatarajiwa kuzaliwa na Hamisa siyo wa kwake na kumtaka mrembo huyo amuweke wazi mwenye mzigo huo ili apunguziwe kunyooshewa vidole.
Mrembo huyo ni kama ameelewa somo hilo kutoka kwa Diamond, kupitia mtandao wa Instagram ameandika ujumbe ambao unaonesha anataka kumtaja mwenye mimba hiyo japo aliishia kati bila ya kumalizia. !!!Mama Daa…?.Mama Dee…?.Mama Diiii….?.Mama doo….?.Mama duuh……?,” ameandika Mobetto kwenye picha hiyo hapo chini aliyoiweka kwenye mtandao huo.
Baada ya kuandika hivyo mashabiki walicharuka na kuamua kumalizia jina la baba wa mtoto huyo wenyewe. Hizi ni baadhi ya comment za mashabiki kwenye mtandao huo.
beibdebevy:Mama Diamond
dehero_69Mama alikiba hahaha dodo @hamisamobetto
mommy_genius:Mama Danube
kitela_bwoy:Kiki kwa pikipiki @hamisamobetto mond ameikataa mimba
june.matenu:Mchokoz wewe acha watu watoe omo chacha
wema_memes: babe bhanaaa….m nachagua Dee
said_khamiss_asahd:Mama dangote
iamdarlen_j:mama Dee chibu D
officialnorine_gal:Mama Dangotee mchokoz wew Missa
Ameongeza kuandika “Mama ………?#AngalizoUshauriPelekeniAngaza.”
Tupia Comments: