Ukitaka kujua hakuna mzaha ktk serikali hii ni kuwa zoezi la vyeti feki limemkumba na kumuadhibu shemeji yake kabisa na Rais Magufuli aitwaye Dorice M Mbizo ambaye yupo kwenye mashirika ya Umma/Taasisi namba 1158.
Huyu shemeji yake muda mrefu amekaa kwa Magufuli pale Kinondoni tangu Magufuli akiwa Naibu Waziri wa Ujenzi mpaka alipoolewa, kwa kifupi maisha yake kwa kipindi kirefu yalikuwa kwa Magufuli ambaye ni shemeji yake, sasa alipopata kazi kumbe alitumia vyeti feki bila kujua kwa kuwa ni aibu kwake. KAGUZI HIZI ZIMEMUIBUA NA KUMUWEKA HADHARANI.
Hapa kumekucha, fagio halina cha ushemeji wala undugu ni kula kichwa tu!
Tupia Comments: