Kaili hiyo aliitowa jana bungeni wakati akiomba muongozo kwa naibu spika wa bunge, Ambapo aliomba bunge kuahilisha shughuli zake za bunge na kujadili matukio ya utekaji yanayoendelea hapa nchini , Bashe amesisitiza bunge na serikari kutokulifumbia swala hili la utekwaji na kupelekwa kusiko julikana ,
mbunge huyo pia ameweza kusema kuwa shughuli za utekaji zinafanywa na kikundi kilichopo idara ya usalaama wa Taifa hao ndio waliohusika kumteka "Roma mkatoliki"
ITAZAME VIDEO
Tupia Comments: