HUSSEIN BASHE Ampongeza waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania
  Mh kasimu majaliwa kwa kipindi cha mwaka mmoja ambacho amekuwa waziri mkuu kwa kuwa kiongozi bora,mtulivu,mwadilifu na msikivu kutokana kuwa kuna viongozi wengi hapa nchini wamekosa sifa alionayo waziri huyo na kuomba viongazi waige mfano kutoka kwake 
"Kabura hajachangia hoja bungeni"

BOFYA KUTAZAMA KILICHOENDELEA >>>>> 


Tupia Comments: