Shanghai, China. Mchezaji Oscar anayechezea klabu ya Shanghai amesema kwamba atafurahi Diego Costa akijiunga na klabu ya Ligi Kuu China.

Nyota huyo wa Shanghai amekuwa na ndoto ya kucheza klabu mja na mshambuliaji huyo wa Chelsea ambaye kiwango chake kimeimarika msimu huu.

Costa (28) amekuwa akihusishwa kuhamia Ligi Kuu ya China baada ya msimu huukumalizika huku akitajwa kujiunga na Tianjin Quannjian.

Tupia Comments: