ZITTO AFICHUA SIRI POLISI WALIVYOMTEKA BEN SAANANE
Mbunge wa Nzega mjini, Hussein Bashe leo April 11 2017 amesimama bungeni kuomba taarifa kwa mwenyekiti wa bunge baada ya waziri wa TAMISEMI, George Simbachawene kumtaka mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe kuthibitisha tuhuma zake kwamba usalama wa taifa wamekuwa wakiwakamata watu kinyume cha sheria. wasikilize hapa
BOFYA KUANGALIA ILIVYOKUWA>>>>>>>
Tupia Comments: