Mwigulu hunasababu kukaa kimya wakati wananchi wanalalamikia’–Ridhiwani Kikwete


Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete alisimama Bungeni Dodoma kuchangia mapitio na mwelekeo wa kazi za Serikali na bajeti ya ofisi ya Waziri mkuu kwa mwaka 2017/2017.
Kati ya vitu alivyozungumza Ridhiwani ni kuiomba Serikali akiwemo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba kutokalia kimya matukio ya utekeji yanayoendelea nchini.
Full video tayari nimekuwekea hapa chini….

Tupia Comments: