Staa wa filamu na mitindo Tanzania Jacqueline Wolper ameandika ujumbe huu baada ya msanii wa Bongo Fleva Jux kuhitimu masomo yake nchini China.
Ujumbe huu umekuwa miongoni mwa mambo yaliyo Trend zaidi Tanzania June 22,2017
Jacqueline Wolper anasema “Nimekumbuka mbali kweli nilivyoiona hii picha,nakumbuka siku hizo mwenyewe ndo nakupeleka airport unaenda kuanza kusoma,mpk na mm nilitamani kuwa mwanafunzi ili twende wote yani naandika hii caption huku nasmile nikikumbuka hiyo siku ndo unaenda kusoma mwenyewe…am very happy for you mwanafunzi wangu!yani verrrrry happy…!hongera sn sikuhizi vijana wanafanya yote na shule ipooo ndo unazidi kuwa mnyamweezi,mm mwenyewe hapa nataka nirudi shule ya kutafuta ela manake maisha magumu sana…Hongera sana kwa kuhitimu..!!nisaidieni kumtag mwanafunzi wangu🤗 “

Tupia Comments: