Kutoka IG ya bongo fleva Super staa Harmonize, ni taarifa kuwa anategemea kupata mtoto wake wa kwanza.
Post yake Instagram leo June 4 2017  Inasema Mnh! nawaza huu mchanganyiko wa damu ya kimakonde na ya kizungu sijui itatuletea mwana gani… asa nikiona kakomwe hapo, kananistua😁…Chonde mtoto chukua vyote kwangu ila kwenye rangi jitahidi uibe ya mama yako…..!!! nikavimbe Mtwara 😊

Tupia Comments: