Mrembo hasima mobetto star wa kwenye video za wasanii /video queen,pia maarufu ambaye alijizolea umarufu kwenye video kama “salame” ya diamond ft rayvann.
Hamisa amwaga maneno mazito kwa mama ake diamond akimwish siku yake ya kuzaliwa
http://www.kingcharzhabari.com/# tumekusogezea hapa
Fuatana nasi
“This Day Last year …..❤️
.
Happy Birthday My love ..Allah akupe umri mrefu uishi miaka teley…. Nakupenda mamaπŸ’‹
.
#NapokeaMatusiYaJumlaNaRejaRejaπŸ€—
Hiyo ilikuwa post ya hamisha kwa mama diamond siku ya kuzaliwa tarehe 7 mwezi huu.
Pia hamisa hakuishia hapo azidi kuchafua hali ya hewa kwa kupost post zenye utata tangu abainike kuwa anaujauzito,ambapo inawafanya watanzania kutia shaka kuwa pengine mimba ya hamisa mobeto ni diamond ndiye anahusika zaidi
Fuatana nasi
“Mama DeeπŸ€°πŸ½πŸ’…πŸ½
.
#AboutLastNight #Nairobi”
Aliandika hamisa kwenye post yake instagram na kujiita mama de….pasipo kumalizia.
Jicholauswazi.com litazidi kukuchimbulia undani wa stori hii mpaka tujue mwafaka wa hamisa na majibu ya mimba yake anayehusika hasa ni nani.

Tupia Comments: