Stori imeanzia instagram ambapo naj alipost picha aliyokatika pozi la kipekee lakini ndipo shabiki wakamshukia na kuanza ku-comment maneno yaliyobeba dhana ya ugumba.
Haya maoni ya mashabiki yalimkwaza “baraka the prince” na kujikuta uvumilivu unamshinda na kujibu comment hizo.
Hii hapa picha ya post ya instagram na comment ya ‘baraka the prince’ akijibu mashabiki zake
Unadhani baraka yuko sahihi kujibu mashabiki zake kuhusu maswala nyeti hasa ya uzazi na maisha binafsi????
Je,lisemwalo lipo?

Tupia Comments: