Miss Tanzania 2006 ambae pia ni Msanii Wa Bongo Move Wema Sepetu leo june 27, 2017 ameamua kufunguka juu ya shepu yake na kusema kuwa Shepu ya mwendokasi… Ndo niliojaliwa nayo… Kama imeanzia kiunoni kwenda magotini ndo niliojaliwa nayo… Kama wewe hauna basi mshukuru Allah…
Mlimbwende huyo ameyaandika hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram ikionesha wazi kua nijibu kwa wale wenye kuponda muonekano wa shepu yake.
Shepu ya mwendokasi… Ndo niliojaliwa nayo… Kama imeanzia kiunoni kwenda magotini ndo niliojaliwa nayo… Kama wewe hauna basi mshukuru Allah… Ndo nilivyoumbwa jamani… Sio mimi bali ni Maulana ndo alionibariki nayo… Hata ingekuwa kwanzia kichwa hadi Vidole vya miguuni ni sawa pia… Ndo niliojaliwa nayo…. Sometimes najiangalia kwenye kioo sijimalizi… Ndo majaliwa yangu… Ndo yangu basi… Imenizidia… Allah Subhanah wataallah ndo amenipa… Aaaah….!? Sio shepu ya kawaida… Niacheni na Shepu yangu jamani… Ndo nishaimiliki mie… Siwezi kuitoa…. ๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„” alicho andika wema kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Tupia Comments: