Muda huu Mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema  Edward Lowassa ameachiwa kwa Dhamana alipokuwa akihojiwa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi leo.

Lowassa ameachiwa majira ya saa saba na Gari za msafara wake zilionekana zikitoka nje ya Makao Mkuu ya Jeshi hilo saa 7 na robo.

Awali Lowassa aliwasili Makao hayo majira ya Saa 4 asubuhi.

Peter Kibatala amesema kuwa Lowassa atareje tena Makao makuu hapo tarehe 27 juni mwaka .

Tupia Comments: