Rais wa Zanzibar afanya ziara ya kuwafariji waathirika wa upepo, wilaya ya Magharibi B Unguja at 4:53 AM KITAIFA, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein akipata maelezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Mohammed Mahmoud alipofanya ziara ya kuwatembelea na kuwafariji waathirika wa Upepo uliotokezea katika shehia ya Kinuni,Mwanakwerekwe na Pangawe ambapo jumla ya nyumba 123 ziliathirika kutokana na Upepo huo Wilaya ya Magharibi B unguja.Baadhi ya nyumba zilizoathirika kutokana na Upepo mkubwa uliotokezea hapo jana katika shehia ya Kinuni, Mwanakwerekwe na Pangawe zikionekana kuezekwa na wenyewe.Jumla ya nyumba 123 ziliathirika kutokana na Upepo huo Wilaya ya Magharibi B unguja.Baadhi ya nyumba zilizoathirika kutokana na Upepo mkubwa uliotokezea hapo jana katika shehia ya Kinuni, Mwanakwerekwe na Pangawe zikionekana kuezekwa na wenyewe.Jumla ya nyumba 123 ziliathirika kutokana na Upepo huo Wilaya ya Magharibi B unguja.Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Mohammed Mahmoud katikati akiwatembelea pamoja na kuwafariji waathirika wa Upepo uliotokezea katika shehia ya Kinuni,Mwanakwerekwe na Pangawe ambapo jumla ya nyumba 123 ziliathirika kutokana na Upepo huo Wilaya ya Magharibi B ungujaMuandishi wa Habari wa ITV na Redio One Farouk Karim akifanya mazungumzo na Mzee Suleiman Ali Makame muathirika wa Upepo uliotokezea katika shehia ya Kinuni,Mwanakwerekwe na Pangawe ambapo jumla ya nyumba 123 ziliathirika kutokana na Upepo huo Wilaya ya Magharibi B unguja.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Pangawe na Kijitoupele Shamsi Vuai Nahotha wakati alipofanya ziara ya kuwatembelea na kuwafariji waathirika wa Upepo uliotokezea katika shehia ya Kinuni,Mwanakwerekwe na Pangawe ambapo jumla ya nyumba 123 ziliathirika kutokana na Upepo huo Wilaya ya Magharibi B unguja. NextNewer Post PreviousOlder Post KITAIFA
Tupia Comments: