Waziri wa mambo ya ndani Mh mwigulu nchemba;Ameandika ujumbe kwenye akaunti yake ya instagram kuhusu roma na wenzake kutekwa >>>>> "Nimeshtushwa kwa kutokuonekana kwa Msanii Roma na Wenzake mpaka sasa ,zaidi nilipofuatilia na kuambiwa hakuna kituo chochote cha polisi kinachowashikilia. Nimeelekeza Polisi wafuatilie kwa karibu kujua undani wa tukio hili na hatima yao na kutoa taarifa kwa umma."

Tupia Comments: