Polisi wakikagua gari za wachezaji wa Manchester United wakielekea mazoeini viwanja vya Carrington leo, baada ya tukio la usiku wa jana la shambulio la kigaidi kwenye tamasha la muziki wa Pop mjini Manchester lililosababisha vifo vya watu 22 na wengine 119 kujeruhiwa

Tupia Comments: