Msanii wa Rap/HipHop Tanzania Nikki Wa Pili ameongelea ushirikiano wa mashabiki katika kununua kazi za wasanii kwenye mitandao tofauti iliyoanzishwa bongo kama Mkito na Wasafi.Com.
Kupitia Twitter Nikki anasema Watanzania hawapendi kununua muziki, na ata baada ya mitandao kama hii kuanzishwa ili kurahisisha kazi, bado mambo ni magumu…..
Ujumbe wa Nikki Wa Pili unasema “Watanzania hawapendi kununuwa muziki, platform kama wasafi haita leta tija, kama bado unataka kupata wimbo bure kwenye ma group ya wasap“
Tupia Comments: