Beki wa kati wa wekundu Msimbazi Simba leo Jumapili ya April 9 2017 taarifa zilizotolewa kutoka katika kamati ya saa 72 ni kuwa amesimamishwa kuendelea kucheza mechi za VPL na kamati hiyo hadi tuhuma zake za kumpiga ngumi George Kavilla zitakapotolewa maamuzi na kamati ya nidhamu ya TFF.
Abdi Banda anatuhumiwa kumpiga ngumi George Kavilla wa Kagera Sugar wakati wa mchezo dhidi yao akiwa hana mpira mchezaji huyo, hivyo kamati imeamua imsimamishe hadi itakapotoa maamuzi rasmi, tukio la Banda ambalo halikuonwa na refa inadaiwa aliwahi lifanya pia katika game dhidi ya Yanga.
Katika mchezo huo ambao ulichezwa April 2 2017 katika uwanja wa Kaitaba Bukoba, Simba ambayo ilikuwa inaongoza Ligi kwa tofauti ya point moja dhidi ya watani zao
Tupia Comments: