Jaji wa Mahakama Kuu, Prof. Ruhangisa aliyeomba kustaafu kabla ya muda ni miongoni mwa wanaotuhumiwa kufaidika na fedha za Tegeta Escrow.



Leo Julai 6, Rais Magufuli ameridhia maombi ya kustaafu mapema kwa Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania, Prof. John Eudes Ruhangisa, alikua Kanda ya Shinyanga.

Tupia Comments: