Msanii wa filamu Bongo, Jackline Wolper huwenda amepata mrithi wa aliyekuwa mpenzi wake Harmonize.
Wolper baada ya kuachana na msanii huyo wa muziki kutoka lebo ya WCB amekuwa akipost katika mtandao wa kijamii wa Instagram juu ya na kuonesha kuwa she is move on.
Usiku wa jana mrembo huyo aliandika katika mtandao huo wenye watumiaji wengi zaidi dunia kuhusu mapenzi jambo liliwafanya mshabiki zake kuhisi huwenda bibie amepata mpenzi mpya.
“Mapenzi ni nini kwani pamoja na yote lkn m2 unarudi pale pale haya mambo ayajawah kumuacha m2 salama basi natamani kupost ata kifua Nashindwa naogopa #why? Why?,” ameandika Wolpe
Tupia Comments: